1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Wahaya sio jamii ya shape nzuri, ni miguu zaidi na hata wanyarwanda ni wageni tu na sio wa maumbile mazuri. Wasukuma ndo kila kitu. Labda huzijui hizo jamii vizuriLazima iwe hvyo apo mwanza mjin wahaya na wanyarwanda ni zaidi ya 40%
Acha uongoMji ule umejaa wahaya na watu WA asili ya kinyarwanda
Ahaa wap hujakutana na wasukuma waliokomaa wale waendeshao baiskeli.wahaya na wanyarwanda wanamishepu na wako romanticWahaya sio jamii ya shape nzuri, ni miguu zaidi na hata wanyarwanda ni wageni tu na sio wa maumbile mazuri. Wasukuma ndo kila kitu. Labda huzijui hizo jamii vizuri
Tafuta mixer ya kinyankole na kirwanda mtoto anashape akikaa kwenye kigoda ana kifichaAhaa wap hujakutana na wasukuma waliokomaa wale waendeshao baiskeli.wahaya na wanyarwanda wanamishepu na wako romantic
Kuna Biriani mkuu[emoji2][emoji2][emoji2]
Hahaaa!Nilifanyia sendoff mwanza.. ..!nakiri kwa mara ya kwanza badala ya kuco centrate na mawaidha ya wananzengo nikawa natazama wamama walivyojazia ..alafu wanajimwaga balaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]...wamevaa kawaida lkink hawajifichi...mie nikiendaga upande wa mama huwa naomba niwashike makalio nijihakikishie km ni kweli[emoji23][emoji23][emoji23]..Mwanza salute jaman...
Sio kwwl mkuu.nenda iringa then rudi mwanza ...mwanza kuna mifurushi ya kufa mtuNiko Mwanza mwaka wa tano huu ila sio to that extent bhana chumvi nyingi kuliko uhalisia..wenye chura wapo kiasi chake kama ilivyo sehem yeyote ile ya Tanzania labda uwe umechanganya unene na chura..sio kila mnene anayo chura..wanene wengine ni shapeless tu sababu ya kula dagaa samaki udaga(mchanganyiko wa dona na muhogo)nk hufanya wanawake kuwa giants..ova
Wahanga utawajua tu!
Nana aka Naksi niache kituo kinachofuata.Bila kapicha wala hueleweki kama ndugai tu
Ngoja niendelee kula Nana yangu mie
Sent using Jamii Forums mobile app