Kwa nilichokiona na kukisikia leo nathibitisha rasmi kuwa Tanzania hatuna 'Critical Journalists' bali tuna 'PR and Round Table Journalists' tu

Kwa nilichokiona na kukisikia leo nathibitisha rasmi kuwa Tanzania hatuna 'Critical Journalists' bali tuna 'PR and Round Table Journalists' tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ukiona anayehojiwa au Kuulizwa Maswali anayajibu kwa Furaha, hatetemeki, anatingisha Miguu yake kama yupo Sebuleni Kwake na Familia yake, hatokwi na Jasho, hapandwi na Hasira mpaka anadiriki kuomba maswali ya Nyongeza huku akiishia Kuwakaribisha Chakula ili mvimbiwe vizuri kwa Uroho wenu jua waliopo ( wanaomuhoji ) ni bure kabisa na anayehojiwa nae ameshawadharau halafu anawamudu pia hawamtishi.

Nimesikitika sana tu kwa nilichokiona.
 
Kusema ukweli waandishi wawili au watatu tu ndio wameuliza maswali ya msingi kidogo, wengine wameuliza maswali ya kitoto sana hasa wale wanaotoka TBC na yule sijui wa redio tumaini. Yule dada wa redio ujerumani na mwingine aliyeuliza katiba mpya na mikutano ya kisiasa kuruhusiwa at least wameuliza maswali ya maana. Tanzania hatuna waandishi wa habari, kichwani weupe sana.
 
Ukiona anayehojiwa au Kuulizwa Maswali anayajibu kwa Furaha, hatetemeki, anatingisha Miguu yake kama yupo Sebuleni Kwake na Familia yake, hatokwi na Jasho, hapandwi na Hasira mpaka anadiriki kuomba maswali ya Nyongeza huku akiishia Kuwakaribisha Chakula ili mvimbiwe vizuri kwa Uroho wenu jua waliopo ( wanaomuhoji ) ni bure kabisa na anayehojiwa nae ameshawadharau halafu anawamudu pia hawamtishi.

Nimesikitika sana tu kwa nilichokiona.
Atleast wameuliza vyenye mantiki kweny ukweli tuwe tunaongea jaman..uwezi fananisha maswali yao na ya vijana au wale wazee wa Dsm
 
Eti Mtu na Akili Zake Anamuuliza RAIS Kwanini Anateua Sana Vijana Wakati Kuna Wazee Wengi Walionyosha Mikono Huku Wakisema CCM OYEEEEE!!
Ndiyo maana GENTAMYCINE nimewadharau mno Wahariri waliokuwepo hapo. Wameendea Chakula tu na Juice za Ikulu.
 
Back
Top Bottom