mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Dah ilaWewe upo wapi?
Sio dar tu Shopperz arusha nayo imefurika sana toka janaa ukienda jioni ni mshike mshikeYaani nimekutana na hekaheka za wanaume wa dar, wanawake kwa watoto, masokoni na mabarabarani wakinunua vyakula kama watu wanaojiandaa na janga la njaa..Wengi wamepanga kujifungia majumbani kwao..hii nchi uoga ndio adui namba moja.
Adiosss
Alisha sema hakutakuwa na nywinywiiiNdio maana majani wanawaita nyumbu.
Hutaki nyumbani kwako kuwe na nywinywinywi ?Sasa tusiachie watoto chakula cha kuanzia maisha π hapa nshapika cha week nzima wawe wanapasha tu π―
Wajinga wengi huendeshwa kwa hisia, trust me hiyo kesho hao waandamanaji kila utaemuuliza atakua na hoja yake binafsi, kitu ambacho hata wakifanikiwa bado itakua hawajafanikiwa maana humo ndani mtafaruku bado utakuwepo.Alisha sema hakutakuwa na nywinywiii
Wapo wataenda na magari yao yaan wao wana andamana ndani ya magariMtu mwenye uwezo wa kwenda kufanya shopping ya chakula leo hiyo sio muhusika wa maandamano..
Eti shoppers..una uwezo wa.kwenda shoppers alaf uandamane..
Wanaoandamana sio nyie matajiri nyinyi hamjui hustle watu wanapitia kitaa ni mlo mmoja!
πSasa tusiachie watoto chakula cha kuanzia maisha π hapa nshapika cha week nzima wawe wanapasha tu π―
Mbombo ngafu hiii cameroon rais yupo madarakani miaka 40 na ana gombea na wananchi wametulia kimyaaWajinga wengi huendeshwa kwa hisia, trust me hiyo kesho hao waandamanaji kila utaemuuliza atakua na hoja yake binafsi, kitu ambacho hata wakifanikiwa bado itakua hawajafanikiwa maana humo ndani mtafaruku bado utakuwepo.
Umeyajuaje ya kesho?
Niko naandaa kikosi kaziWewe upo wapi?
Hakutakua na nywinywi Wala nyunyinyiUmeyajuaje ya kesho?
SawaHakutakua na nywinywi Wala nyunyinyi
HACHA tuoneWajinga wengi huendeshwa kwa hisia, trust me hiyo kesho hao waandamanaji kila utaemuuliza atakua na hoja yake binafsi, kitu ambacho hata wakifanikiwa bado itakua hawajafanikiwa maana humo ndani mtafaruku bado utakuwepo.