Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Leo Tusafiri katika dunia ya kijamii kuangazia suala hili
Katika soma yangu ya lesoni fulani, nikaona mahali wanaume wakivua makoti yao ili kumdunda nabii (Stefano) aliyedhihaki dini yao na wakampa Kiongozi wa Uchochezi (Sauli)
Nikazama zaidi na mada hii na kukuta kumbe watu walishazama pia.
Suala hili japo huenda na wewe ulipitia kadhia hii ulipokua mdogo lakini ni suala lilioanzia mbali sana katika jamii za kale. Ukilifuatilia sana utagundua ni makuzi lakni baadae utaona ni kasumba tu iiyojengeka ambayo mintaarafu hurithishwa
Kumvua nguo mhalifu hasa wagoni ilikua desturi ya kale sana (wanaume tu ndio waliokua wanavuliwa nguo) ikionesha huyu ni mwenye dhambi mkubwa, lkn katika kisa hiki inaonekanaa hawa wanajivua wapo na kwa hasira wanamvamia nabii......kuonesha kwamba wao ndio wenye dhambi na sio nabii
1. Yumkini kuvua shati kabla ya kupigana ni kiashiria cha hasira ya juu sana kwamba uko tayari kwa mapambano na adui yako ajiandae.
2. Yumkini ni mkwala tu ambao na wewe ulikua ukiuona na sasa unautumia
3. Yumkini ni kuepusha kuchaniwa nguo au kuchafua (JE KWA NINI WADADA HAWAVUI)
Hitimisho langu ni kwamba
Ukisoma tamaduni za makabila ya kale hasa mashariki, walikua wanavaa maavazi marefu yanayogubika mwili (Cloak), kimsingi si rahisi upigane na mavazi hayo hivyo wakijazibika huyavua na kuanza kudundana, huenda huku TUMERITHI ama lolote lati ya hayo hapo juu