Nimefikiria sana ila nimekosa majibu kuhusu ili suala la ulipaji kodi kati ya Vodacom na Airtel. Hivi karibuni TCRA wametoa idadi ya wateja kwa kila kampuni ya simu ilionao. Na Vodacom wana wateja Milioni 10 huku Airtel wakiwa na wateja Milioni 5 tu. Lakini ukiangalia orodha aliyotoa Waziri Mkuu wakati kuahirisha Bunge hivi karibuni ilionesha Airtel kama moja ya makapuni kumi yanayoongoza kwa ulipaji kodi nchini na Vodacom haikutajwa kabisa. Na ukitazama idadi ya wateja utaona Vodacom wana wateja wengi kuliko Airtel na Tigo. Jamani kuna suala la uchakachuaji hapa au kuna nini?
kama vipi tuitieni chaka hii kampuni
Nimeipenda avatar yako. Naomba unichoree na mimi avatar iliyokaa kijasusi jasusi.Mbona umechelewa. Tulishatupa kikadi chao zamaaaaaaaaaaaani.
Nimeipenda avatar yako. Naomba unichoree na mimi avatar iliyokaa kijasusi jasusi.
We are bunch of hypocrites...Kila siku tunalalamika mafisadi wanatumaliza wakati hatuna tatizo na kuwa wateja kwenye makampuni yao ambayo yameaanzishwa kwa pesa za kifisadi!!Tukiwaambia muhamie Airtel tena na familia,ndugu,jamaa na marafiki mnakuwa wabishi,sio kulipa kodi tu kumbuka pia wewe kama mtanzania una share yako Airtel(hisa za serikali) kwahiyo pamoja na kulipa kodi mwisho wa mwaka wanapeleka hazina gawio la faida.
<br />Nimefikiria sana ila nimekosa majibu kuhusu ili suala la ulipaji kodi kati ya Vodacom na Airtel. Hivi karibuni TCRA wametoa idadi ya wateja kwa kila kampuni ya simu ilionao. Na Vodacom wana wateja Milioni 10 huku Airtel wakiwa na wateja Milioni 5 tu. Lakini ukiangalia orodha aliyotoa Waziri Mkuu wakati kuahirisha Bunge hivi karibuni ilionesha Airtel kama moja ya makapuni kumi yanayoongoza kwa ulipaji kodi nchini na Vodacom haikutajwa kabisa. Na ukitazama idadi ya wateja utaona Vodacom wana wateja wengi kuliko Airtel na Tigo. Jamani kuna suala la uchakachuaji hapa au kuna nini?
Nimefikiria sana ila nimekosa majibu kuhusu ili suala la ulipaji kodi kati ya Vodacom na Airtel. Hivi karibuni TCRA wametoa idadi ya wateja kwa kila kampuni ya simu ilionao. Na Vodacom wana wateja Milioni 10 huku Airtel wakiwa na wateja Milioni 5 tu. Lakini ukiangalia orodha aliyotoa Waziri Mkuu wakati kuahirisha Bunge hivi karibuni ilionesha Airtel kama moja ya makapuni kumi yanayoongoza kwa ulipaji kodi nchini na Vodacom haikutajwa kabisa. Na ukitazama idadi ya wateja utaona Vodacom wana wateja wengi kuliko Airtel na Tigo. Jamani kuna suala la uchakachuaji hapa au kuna nini?
<br />mie hata mtu wa vodacomsiwezi hata kumbipu