Basi unachojaribu kujieleza hakieleweki. Article ni mada. Sasa inshusiana vipi na hayo maneno?Sijui
... Mkuu hujui halafu unafafanua inakuwaje?Sijui
Article sio mada (topic) mzee; ni aina ya kivumishi - huvumisha nomino.Basi unachojaribu kujieleza hakieleweki. Article ni mada. Sasa inshusiana vipi na hayo maneno?