Kwa nini askari hawaruhusiwi kufuga ndevu??

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
nimekua nikijiuliza kwa nin askari karibia wote hawaruhusiwi kufuga ndevu,na hata stail ya unyoaji wao kichwani ni ya kipekee!!
 
Trimming hair and shaving beard is part of the army smart code.
 
Enzi ya vita ya zamani ukiwa na midevu mirefu ni sawa na sasa kuvaa tai halafu kuutifua ugomvi! utakabwaje?
 
Adui anaweza kutumia kama silaha ya kukuumiza kwa kuzivuta...mtazamo tu..
 
Askari wa bongo si ruhusa, itakuwa sbbu ya kuomba ruksa kwenda kunyoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…