Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Hivi ni kweli hatuna ndege za kufanya safari za ndani?
Nauliza hivyo kwa kuwa, kila wiki Ijumaa hadi Jumatatu huwezi kupata ndege ya Arusha au JRO to Dar labda ukimbizane na hivi vicaravan (C208) vya watu 10 wakati huo huo, ATC inalalamika haina biashara.
Utashangaa vi Caravan zaidi ya 15 vinatoka Arusha to dar/znz kila siku tena kwa bei kubwa huku ATC wamelaza ndege kwenye yadi.
Wangeweka ndege kadhaa za Arusha to DAR direct (wkend) na arusha via JRO to Dar katikati ya wiki. bado mwanza na kigoma na dodoma ni one of the best spot ya Bishara kwa sasa.
Mbona ulaya wana nauli hata za $25/ na hawapati hasara? wanao pata hasara ni kina KQ, SA, nk