Pia najiuliza kama fedha zimetoka zimepungua wakati zinatoka kwenye ATM nini cha kufanya?umewahi kujiuliza kwa nini ATM hutoa kwanza kadi kabla ya hela??
waliodesign ATM wanajua hulka ya binadamu kwamba akishapata anachotaka anasepaaa...
yan ATM zingekua zinatoa kwanza mshiko kila siku tungesikia kesi za kusahau kadi kwenye vyumba vya ATM..
WANGAPI wangekumbuka kuchukua kadi baada ya kupata mshiko???/
Imekula kwako,,japo sio rahisi sana kutokea maana kam kile kias hakuna kwe ye mashine it means hatuweza kufanya muamala..Pia najiuliza kama fedha zimetoka zimepungua wakati zinatoka kwenye ATM nini cha kufanya?
Ndio, we mwezangu unatumia njia gani?Hivi bado watu wanatumia ATM kuchukua hela. Du. Kwa kweli badilikeni mwende na teknolojia.
hii kweli kabisaPia najiuliza kama fedha zimetoka zimepungua wakati zinatoka kwenye ATM nini cha kufanya?
SIMBANKING. Naitisha fedha kutoka kwenye akaunti yangu. Inaingia kwenye mpesa akaunti. Natumia. Sina haja ya ATM.Ndio, we mwezangu unatumia njia gani?
Kuna watu kazi yao kuweka hela ili zisiishe.Pia najiuliza kama fedha zimetoka zimepungua wakati zinatoka kwenye ATM nini cha kufanya?