Kwa nini baadhi wanamke wanatokwa na utando mweupe kama maziwa ya mtindi wakati wa majambozi

mkabaroho

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
300
Reaction score
373
Naomba kufahamu ni nini hasa kinasababisha wanawake (baadhi) kutokwa na utando mwingi sana wakati wa ku~do?

Mimi ni Mvulana na kitu hiki huwa kinaniboa sana tunapo~do kwani huwa unatoka mwingi sana na huwa na kama maziwa ya mtindi yaliyo ganda.

Wenye elimu kuhusu hii kitu naomba ushauri wenu Je ni ugonjwa au ni hali ya kawaida tu?
 
Attachments

  • hhhh.jpg
    hhhh.jpg
    16.3 KB · Views: 1,549
Naomba kujua umri wako kwanza, ndipo nipate kukushauri vilivyo.
 
Bado toto Dogo wewe, unaboreka wakati wenzako hiyo ndo juice yetu? Ukikua unajua, mods peleka kule mmu
 
Mods bado anaendelea kufanya coverage ya uchaguzi wa wabunge kule nchini kwao Rwanda, akimaliza atakuja ku muvuzisha huu uzi na kuuweka mahala pake, nzdhani hatasahau kumuonya huyu mvamizi
 
Naomba kufahamu ni nini hasa kinasababisha wanawake (baadhi) kutokwa na utando mwingi sana wakati wa ku~do?

Mimi ni Mvulana na kitu hiki huwa kinaniboa sana tunapo~do kwani huwa unatoka mwingi sana na huwa na kama maziwa ya mtindi yaliyo ganda.

Wenye elimu kuhusu hii kitu naomba ushauri wenu Je ni ugonjwa au ni hali ya kawaida tu?

Bollocks..........
 
Ishajadiriwa sana hii
cc: zubedayo_mchuzi

====================
Ukipata Ujumbe wa Chuki Matusi Futa Delete Kabisa.
====================
 
Last edited by a moderator:
hii mada si sehemu yake hapa kuna sehemu ya kuongelea c hapa
 
Naomba kufahamu ni nini hasa kinasababisha wanawake (baadhi) kutokwa na utando mwingi sana wakati wa ku~do?

Mimi ni Mvulana na kitu hiki huwa kinaniboa sana tunapo~do kwani huwa unatoka mwingi sana na huwa na kama maziwa ya mtindi yaliyo ganda.

Wenye elimu kuhusu hii kitu naomba ushauri wenu Je ni ugonjwa au ni hali ya kawaida tu?

Hilo ni gono sugu angalia zinaa zako hizo zitakupeleka pabaya. Tiba yake hutaiweza sindano zile za kuchomea ng'ombe , bomba lake nchi moja na nusu, dozi yake mbili kwa siku halafu siku 21
 
Huo ni ugonjwa unao sababishwa na Fungus aina ya Candida albicans - wataalamu watafafanua zaidi.

Kama ni meupe tu hayatoi harufu na hayawashi sio fungus!

Fungus mdada atagundua tu kwa kuwasha kwake!
 
Naomba kufahamu ni nini hasa kinasababisha wanawake (baadhi) kutokwa na utando mwingi sana wakati wa ku~do?

Mimi ni Mvulana na kitu hiki huwa kinaniboa sana tunapo~do kwani huwa unatoka mwingi sana na huwa na kama maziwa ya mtindi yaliyo ganda.

Wenye elimu kuhusu hii kitu naomba ushauri wenu Je ni ugonjwa au ni hali ya kawaida tu?
pumbafu sana ulieleta hii mada , kichwani ni zero plus
 
Hiyo kitu huwa haichunguliwi we unapiga tu huku umegeukia pembeni !!
Halafu kwenye hiyo picha mbona sijaona huo utando ??
 
jukwaaa limevamiwa na watoto wa form 1
kuna haja kusajili watu kwa kigezo cha umri humu
 
Hata mi nimekutana na k2 kama hyo..nashindwa kuelewa!

Siku hizi tuna watoto wengi sana humu. Kama halalamiki kusikia maumivu au kuwashwa ukeni,hiyo ni ute au lublicant inayosaidia mjengo wako upenye vizuri. Muda mfupi kabla ya tendo mkiwa mmechezeaana vizuri,yeye huanza kumtoka ndani ya uke na wewe utaona ute unaanza kutoka hapo kwenye tundu la uume. Ukikua utayajua mengi zaidi ya hayo!
 
Back
Top Bottom