Mods bado anaendelea kufanya coverage ya uchaguzi wa wabunge kule nchini kwao Rwanda, akimaliza atakuja ku muvuzisha huu uzi na kuuweka mahala pake, nzdhani hatasahau kumuonya huyu mvamiziBado toto Dogo wewe, unaboreka wakati wenzako hiyo ndo juice yetu? Ukikua unajua, mods peleka kule mmu
Naomba kufahamu ni nini hasa kinasababisha wanawake (baadhi) kutokwa na utando mwingi sana wakati wa ku~do?
Mimi ni Mvulana na kitu hiki huwa kinaniboa sana tunapo~do kwani huwa unatoka mwingi sana na huwa na kama maziwa ya mtindi yaliyo ganda.
Wenye elimu kuhusu hii kitu naomba ushauri wenu Je ni ugonjwa au ni hali ya kawaida tu?
Huo ni ugonjwa unao sababishwa na Fungus aina ya Candida albicans - wataalamu watafafanua zaidi.Bollocks..........
Naomba kufahamu ni nini hasa kinasababisha wanawake (baadhi) kutokwa na utando mwingi sana wakati wa ku~do?
Mimi ni Mvulana na kitu hiki huwa kinaniboa sana tunapo~do kwani huwa unatoka mwingi sana na huwa na kama maziwa ya mtindi yaliyo ganda.
Wenye elimu kuhusu hii kitu naomba ushauri wenu Je ni ugonjwa au ni hali ya kawaida tu?
Huo ni ugonjwa unao sababishwa na Fungus aina ya Candida albicans - wataalamu watafafanua zaidi.
pumbafu sana ulieleta hii mada , kichwani ni zero plusNaomba kufahamu ni nini hasa kinasababisha wanawake (baadhi) kutokwa na utando mwingi sana wakati wa ku~do?
Mimi ni Mvulana na kitu hiki huwa kinaniboa sana tunapo~do kwani huwa unatoka mwingi sana na huwa na kama maziwa ya mtindi yaliyo ganda.
Wenye elimu kuhusu hii kitu naomba ushauri wenu Je ni ugonjwa au ni hali ya kawaida tu?
Hata mi nimekutana na k2 kama hyo..nashindwa kuelewa!
Naomba kujua umri wako kwanza, ndipo nipate kukushauri vilivyo.