HansMaja
Senior Member
- Nov 9, 2010
- 104
- 124
Kuna habari hawa wabunge wanabadili wapenzi kila siku. Wengine tumewasikia wakiwa Ulaya ndio inakuwa sehemu nzuri ya kufanya mambo yao machafu. Hawa wawakilishi wetu tunatarajia wajiheshimu na wawe na maadili ya Kiafrika. Muda kuoa unapofika OA au OLEWA jenga familia.!!