Kuna habari hawa wabunge wanabadili wapenzi kila siku. Wengine tumewasikia wakiwa Ulaya ndio inakuwa sehemu nzuri ya kufanya mambo yao machafu. Hawa wawakilishi wetu tunatarajia wajiheshimu na wawe na maadili ya Kiafrika. Muda kuoa unapofika OA au OLEWA jenga familia.!!
Kuna habari hawa wabunge wanabadili wapenzi kila siku. Wengine tumewasikia wakiwa Ulaya ndio inakuwa sehemu nzuri ya kufanya mambo yao machafu. Hawa wawakilishi wetu tunatarajia wajiheshimu na wawe na maadili ya Kiafrika. Muda kuoa unapofika OA au OLEWA jenga familia.!![/QUO
muda muafaka wa kuoa ni subjective kwa kila mtu,hivyo kuwa mbunge sio lazima eti uoe tu hata kama hujajiandaa kimaisha na kuiandaa akili yako kumpokea mtu mwingine aliye na akili,mawazo,malezi na makuzi tofauti na ww.....kuoa au kuolewa nafikiri si jambo rahisi ki vile
Kuna habari hawa wabunge wanabadili wapenzi kila siku. Wengine tumewasikia wakiwa Ulaya ndio inakuwa sehemu nzuri ya kufanya mambo yao machafu. Hawa wawakilishi wetu tunatarajia wajiheshimu na wawe na maadili ya Kiafrika. Muda kuoa unapofika OA au OLEWA jenga familia.!!
Kuna habari hawa wabunge wanabadili wapenzi kila siku. Wengine tumewasikia wakiwa Ulaya ndio inakuwa sehemu nzuri ya kufanya mambo yao machafu. Hawa wawakilishi wetu tunatarajia wajiheshimu na wawe na maadili ya Kiafrika. Muda kuoa unapofika OA au OLEWA jenga familia.!!
Ndoa ni heshima kwasababu ukiwa mheshimiwa haipendezi uonekane with unlawful partners, kuna maitaifa mengine position kama hizi especially for men you need to be settled.