Kwa nini baadhi ya wanaume hushindwa kurudia tendo la ngono

Nyie msituzengue jamvi la waswahili mnajifanya waingeleza sa kama huyo mnayemshauri ngeli haipandi ataelewa nini?kama hamuwezi hameni jukwaa nendeni kwenye lugha huko,Kila ushauri ngeli au MBA copy nini kama vilivyo? Toeni ushamba humu.
 
"Panic" ni moja ya sababu za pre mature ejaculation!!!!
 
Nyie msituzengue jamvi la waswahili mnajifanya waingeleza sa kama huyo mnayemshauri ngeli haipandi ataelewa nini?kama hamuwezi hameni jukwaa nendeni kwenye lugha huko,Kila ushauri ngeli au MBA copy nini kama vilivyo? Toeni ushamba humu.

Mimi nimeshangaa mashindano ya Kikoloni kila comment iliyokuwa ikiifata nyingine....Au ndio MATOKEO MAKUBWA SASA?
 
mkuu naona umevunja yai la ktosha!! kwa staili hii wewe hutufai kule mmu.....

umejiunga toka mwaka 2008 na una post mbili tu?!

back to topic; je una fanya mara chache chahce sana? je hao wapenzi huwa ni wapya? huwa umepania gemu?

Okay first just ts normal to have no control
2nd jua inawezekana kuipa control
3rd u have to gv t a try
the thng is unatakiwa kujua kwamba ww ni mbinafsi so unatakiwa kujifunza kucontrol
Moja ya sababu inawezekana ni kuchoka sana na mihangaiko ya kila siku so udifanye Mapenz ukiwa umechoka
2nd inawezekana hujachoka ila hujui kucontrol so how to control here we go
Ukiwa unapump utakojoa fasta ukipump fasta but kama unapump fasta ukiona kuna dalili za kukojoa punguza speed kabisa
2nd ukiona inakuja unaweza juendelea kupump fasta lakini ukahamisha mawazo kwa mfano ukahamishia mawazo kama unakimbizwa,unapigwa au kitu kinachokupa hofu so ts gud to pump fast kama una enjoy au Shem anaenjoy ila ucan use that control mpaka yeye akojoe then u do t
 
Fanya mazoezi ya kujenga pumzi, hayo mengine blabla tu
 
Kama huna matatizo mengine jaribu kubadili aina yako ya ulaji bro. Epuka vyakula ----- (vile vyenye mbwembwe nyingi halagu virutubiso vichache) jaribi misosi ya asili ya issiyopitia michakato mingi ya uaandaaji. Mf viazi vya kuchemsha, supu mchemsho, matunda na mboga za majani... Usisahau vyakula vya mafuta asilia kama karanga na korosho.
 
kama kuna jambo gumu katika mahusiano ni tendo la ndoa , yaani kufikishana kileleni hasa kwa mwanamke wengi wetu sisi wanaume tunajiridhisha sisi , niliwahi kuwa sehemu nikawahoji wanawake walio katika ndoa.

asilimia kubwa hawaridhishwi , mmoja aliniambia alishafanya mapenzi na watu kumi ila mmoja tu aliwahi kumridhisha na huwa mpaka sasa ana feel guilty , kwani ingawa yupo katika ndoa lakini wanakutana .

ni wakati sasa tujue swala si nguvu za kiume tu , ni nini kifanyike kufikia kumaliza tatizo . unaweza ukawa na nguvu za kiume na usiweze kumridhisha mwenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…