kwa nini baadhi,ya wanawake hutokea damu ya hedhi kutoka bila kukoma? nisaidieni hapo

Subiri watakujibu wataalamu!
 
Mkuu umeanzisha tena uzi mwi ngine! kweli tatizo linakusumbua sana.
Hebu funguka zaidi mkuu. tatizo la mhusika lina muda gani? umri wake, na je alipata ajali b4 etc.
kuna mtu kaniuliza,nimekosa majibu. ndiyo naomba majibu kwa anaejua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…