Kwa nini Huyu mkuriya na yule mmasai?
Kwa nini huyu mpare na yule mchaga
Kwa nini huyu ni Mnyakyusa na yule Mfipa?...............
Aiseee, kwa hiyo unaweza ukazaliwa mchaga lakini baadaye ukawa Mnyakiusa, asante kwa hili...ninavyofikiri, kabila ni asili ya Mbegu ya aliyeipandikiza na ukazaliwa, lakini haitokani na malezi! Ndiyo maana pamoja na obama kuwa Mmarekani kimalezi lakini ni MjaluoHii ya kabila ni tofauti kabisa na swali mkuu, kabila ni jambo mtu anakutana nalo baada ya kuwa amezaliwa, kwa maana nyingine kabila mtu hazaliwi nayo(hujasikia hadithi ya yule mtoto wa kimasai aliyezaliwa na wazazi wote wafaransa ila wazazi wake walipotea mbugani huko kilicho wakuta hakijulikani ila mtoto akalelewa na jamii ya wamasai?) lakini hili la akili ni lakuzaliwa nalo na kinachofanywa na mazingira ni kuiendeleza na kushape kutokana na mazingira yenyewe.
you can say it again😀Kwa nini huyu anapenda kujiexpress na huyu hapendi kujiexpress utajibiwa ni HUMAN NATURE
you can say it again😀
uwanja wetu wa nyumbani bana!Hahahaha ebwaneeeeee nimeipenda hiyo CHAWOTE
Hili ni swali linaniumiza kichwa maisha yangu yote kwa nini baadhi ya watu wamejaliwa akili sana wakati wengine ni mambumbu au wana uwezo mdogo wa uweelewa wa mambo? kielimu na hata kimaisha?
Nitafurahi kuelewa ni kwanini kunakuwa na class ya watu katika ufahamu au uelewa wa mambo.
Mifano iko mingi kutoka mashuleni hadi katika maisha yetu ya kawaida.
Kuna siku Dr Isack Ndodi alisema watoto wadogo wakilishwa ngano wanakuwa na akili sana. Kuna siku nitafunga safari nimtembelee ofisini kwake anipe maelezo zaidi.
Kuna siku Dr Isack Ndodi alisema watoto wadogo wakilishwa ngano wanakuwa na akili sana. Kuna siku nitafunga safari nimtembelee ofisini kwake anipe maelezo zaidi.
wengine wanasema mtoto asipomnyonya mama anakuwa na akilu finyu....siujui tuamini lipi hapa.
Naona kama unachanganya mambo vile! Unataka kujua ni:
1. kwa nini baadhi ya watu wana akili sana kuliko wengine? au
Naweza kukusaidia kama issue yako ni swali la kwanza. Hilo la pili, nadhani ni mungu (kama ni wewe muumini) ndie anayeweza kusema kwa nini wengine kawapa zaidi.
wengine wanasema mtoto asipomnyonya mama anakuwa na akilu finyu....siujui tuamini lipi hapa.