Kwa nini bei ya mafuta Tunduru iko juu kuliko maeneo mengine nchini?

Kwa nini bei ya mafuta Tunduru iko juu kuliko maeneo mengine nchini?

Amajambele

Member
Joined
Jan 21, 2015
Posts
11
Reaction score
4
Eneo la Tunduru liko katika mpaka wa Tanzania na Zambia. Wakati bei elikezi ya mafuta aina ya petroli iliyotangazwa na Ewura hivi karibuni katika vituo vyote vya mafuta nchini ni kati ya Sh 1,700 na 1,800 kwa lita, kwa Tunduru mambo ni tofauti. Karibu vituo vyote vya mafuta katika eneo hilo, vinauza mafuta hayo kwa Sh 1,950. Kulikoni?
 
Hata ramani hujui Tunduru mpaka Kati ya Tz na Zambia rudi shule kwanza ndo uje na hoja zako dhaifu
 
Tunduru ipo Ruvuma,Tunduma ipo Mbeya mpakani wa Tanzania na Zambia. weweunaizungumzia Tunduma.
 
Back
Top Bottom