Eneo la Tunduru liko katika mpaka wa Tanzania na Zambia. Wakati bei elikezi ya mafuta aina ya petroli iliyotangazwa na Ewura hivi karibuni katika vituo vyote vya mafuta nchini ni kati ya Sh 1,700 na 1,800 kwa lita, kwa Tunduru mambo ni tofauti. Karibu vituo vyote vya mafuta katika eneo hilo, vinauza mafuta hayo kwa Sh 1,950. Kulikoni?