Kwa nini bei ya petrol ipo juu katikati ya jiji la dar kuliko pembezoni.

Katikati ya mji kuna matajiri wengi, inaaminika wanaokaa nje ya mji kipato chao kidogo
 
Katikati ya mji kuna matajiri wengi, inaaminika wanaokaa nje ya mji kipato chao kidogo

Thamani ya eneo ,mfano ,kodi yaeneo la biashara kama petrol station mjini ni 20million kwa mwezi lakini eneo kama hilo nnje ya mji ni 2 milion .
Hio ndio husababisha bei kua kubwa .
Na thamani hupanda kutokana uwepo wa wateja,kwamaana nyengine mjini wateja ni wengi kulinganisha na nnje ya mji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…