Kwa nini Ben Saanane asikamatwe?

Unajua kazi ya ben au unapigapiga makelele
 

Mkamate wewe basi kama kumkamata mtu ni rahisi
 
Ozzie, tatizo linakuja pale mtu anapokurupuka na kutoa taarifa za uongo ambazo zinaweza kuhatarisha amani, Suppose vijana wangeingia mitaani kudai CDF amedhuriwa, wakafanya fujo na kuumiza watu, nani ni msababishaji?
Mkuu nakubali. Lakini pia nakubali kuna tatizo kubwa kuhusiana na CDF. Kuna vitu ambavyo hata anayeogopa kuviongelea anajua vinaendelea chini ya carpet.
 
Wewe tulia usihofu, dawa ya Ben Saanane iko jikoni kabisa. Ngoja serikali ya Ukawa iingie madarakani na kuboresha ofisi ya DPP ili ifanye kazi yake kwa weledi mkubwa na kuchukua hatua. Inaonyesha Ben "anapendwa sana" na utawala huu wa CCM Ndio maana hawamshughulikii kama "unavyopenda wewe"
DPP huyo mpya atazipitia hata kesi nyingine za jinai zilizokuwa zinafichwa fichwa na utawala huu kwa sababu za kulindana na kujuana juana tuu.
Mleta mada utafurahi na roho yako kwa kazi njema ya Ukawa na huyo Ben we mwache tuu!
 
Mkuu nakubali. Lakini pia nakubali kuna tatizo kubwa kuhusiana na CDF. Kuna vitu ambavyo hata anayeogopa kuviongelea anajua vinaendelea chini ya carpet.

Nakubali kazi za uongozi hazikoso milima na mabonde. Kuna vituko vya wanasiasa vingi hivyo watendaji mara nyingi huingia katk kutoelewana na politics, ni mambo ya klawaida tu, sasa changanya najoto hili la siasa utapata jibu
 

Nimecheka sana
 
Hatimae mmemkamata na mnajua alipo

Hahaaa aisee kumbe mlikuwa mnasubiri watu wasahau...!!!!
 
Nimecheka sana
Ben Saanane hebu rudi muanze upya hiyo mission kwasababu mmekosea kuanza, umepotea wiki tatu ndiyo waanze kukutafuta siyo familia au ofisini kwako Ufipa wote walikuwa kimya, haiwezekani kwa wadhifa wako wakae kimya siku mbili hawakuoni ofisini, rudi ule Christmas na mwaka mpya ndiyo ucheze hiyo scene ya kupotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…