winner forever
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,094
- 269
Kumekuwepo na ongezeko kubwa sana la mabenki hapa Tanzania.
Jambo linalonishangaza ni mabenki haya pamoja na wingi wake kushindwa kuwafikia waajiriwa wa serikali na wa sekta binafsi. Asilimia kubwa ya waajiriwa tunahitaji mikopo kwa ajili ya mahitaji mbali mbali. Wafanyakazi wa mabenki wanachojua wao ni kukaa ofisini na kusubiri wateja. Utaratibu wa kusubiri wateja umepitwa na wakati.
Mwishoni mwa Mwaka jana nilikuwa Nairobi na miongoni mwa mambo yaliyonivutia ni jinsi viongozi wa mabenki nchini humo walivyounda mtandao wa uhakika wa utoaji mikopo kwa watumishi wa serikali na sekta binafsi.Mabenki yana link ya moja kwa moja na waajiri. Tafadhali mabenki ya bongo badilikeni,tufuateni waajiriwa huku tulipo.