Elections 2010 Kwa nini CCM ina HOFU

hofu inatokana kupata utambuzi kuwa tanzania bila ccm inawezekana; ccm bila tanzania haiwezekani; na ufisadi wao bila ccm hauwezekani.
Kwa hiyo wamejitambua kuwa bila wao tanzania itakuwepo tu, ni hofu pia.
 
Kwanini wasiwe na hofu wakati hawana uhakiwa wa mgombea wao kufikisha roundi 12, afya bwana ndiyo hofu kuu.

Hofu nyingine ni afya ya mgombea nafikiri hata kwenye katiba inaelezwa, ni hofu pia asante Quinine.
 
Jile79 umesema CCM ina hofu kwa vile ina mgombea dhaifu kivipi kiafya au, hebu tueleze.
Jamani tuendelee kuangalia kwa nini homa ya CCM imepanda sana mwaka huu, siyo siri hata wao wanalijua hilo hawalali.
 
Maisha bora kwa kila Mtanzania, waliyo-ahidi wananchi hawajayapata wala kuya-ona! Bado ni ndoto!
 
CCM wanajua kuwa mwisho wa utawala wao umefika kwa hiyo ni sawa na mtu anayetaka kukata roho,

Waliahidi vitu vingi sana lakini wapi, pia wanaojua watu wao wengi wamepungua kwani wazee wamekufa, vijana wameanza kushtuka.
 
CCM wanajua kuwa mwisho wa utawala wao umefika kwa hiyo ni sawa na mtu anayetaka kukata roho,

Waliahidi vitu vingi sana lakini wapi, pia wanaojua watu wao wengi wamepungua kwani wazee wamekufa, vijana wameanza kushtuka.
Hofu nyingine, CCM waliahidi vitu vingi sana sasa wanashindwa kuwaeleza wananchi kwa nini havijatekelezwa, ni hofu.
 
'Sheikh Yahya Kuongeza Ulinzi Zaidi kwa JK' hii ni hofu waliyonayo CCM sasa wanaokoteleza kila aina ya silaha hata isiyo na manufaa kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…