Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Hakuna mawaziri waliouziwa nyumba walizokuwa wanakaa!!??Nyumba ziliuzwa kwa watumishi
MAFISADI wakiamua Watanzania hatuna la kufanya kuna Mzee fulani alizigawa na kuhonga hawala zakePamoja na kwamba uuzaji wenyewe wa Nyumba haukuwa na mantiki, lakini ni kwa nini na wanasiasa wa CCM nao waliuziwa nyumba za serikali? Kwani wao ni wafanyakazi wa serikali?
Kama lengo lilikuwa ni kuwasaidia wafanyakazi wa serikali wanapostaafu wawe na makazi ya kudumu, Mbona Askari Polisi, Askari Magereza, Wanajeshi, Waalimu, wao hawakuuziwa nyumba walizokuwa wanaishi wengine walipouziwa nyumba za serikali?
Waziri siyo mtumishi?Hakuna mawaziri waliouziwa nyumba walizokuwa wanakaa!!??
Siyo miongoni mwa watumishi wa kuajiriwa wa Umma. Wao ni wateuliwa.Waziri siyo mtumishi?