Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Hakuna namna ya kuzuia watu kutoka ama kuingia maana ni haki yao kikatiba.Nadhani tujikite kujali itikadi za chama zaidi kuliko idadi ya watu.
Nadhani chadema,Katiba ya nchi na Sheria ya vyama vya siasa inaonesha vyama vya siasa ni vyama vya hiyari mali ya umma.
Katiba zote za vyama vya siasa havijaweka kipengere cha kuzuia mtu akihama asirudi tena kwenye chama husika kwa kuwa itakuwa ni kinyume cha Katiba na sheria za nchi.
Ila vyama vyote vina kanuni ya kuwaangalia waliorudi kabla ya kuwapa madaraka ndani ya vyao.
Vyama vya siasa ni mlango wazi, anayetoka huwezi kumzuia asitoke na anayeingia huwezi kumzuia asiingie.
Ndiyo maana nikasema, Chama kijikite na itikadi zake zaidi na siyo hayo mambo ya idadi ya watu.Hakuna namna ya kuzuia watu kutoka ama kuingia maana ni haki yao kikatiba.
Hii ndiyo hoja ya kujadili. Lakini unamfukuza kwa kufanya nini... Aina hii ya watu ni kuwapuuza tu.Kwa vile haki ya kumfukuza mwanachama ipo. Tusifadhaike Sana.
Tuwafukuze hawa akina Selasini wakionekana wanaenda kinyume cha taratibu za chama.