Elections 2010 Kwa nini Clouds FM wanatisha wananchi?

Waendeshaji wa Clouds ni opportunists:

1. sio watu wa kupigana pale haki yao inapopindishwa na watawala. Serikali ya CCM ilijua kuwa vijana wengi wanawasikiliza wakahakikisha leseni ya TV inawarudisha kwa mafisadi.

2. ni watu wa kuchumia tumbo, wenye tamaa ya vitu vya kupita; kumbuka issue dhidi ya Sugu.

3. wanapenda kuonekana wako juu sana mbele ya jamii, hivyo wako tayari kufanya lolote kwa kutegemea fadhila ya mtawala itayowakuza.

Binafsi nilipenda sana kusikiliza power-breaskfast na jahazi lakini tangu wameanza intentional biasness nimehachana nao ili nisighafilike. Kumbuka kabla hawajapa TV kila mtu alitamani wawe na TV-station tukijua wangekwenda sambamba na vyombo vya "National Media Group" uko Kenya, lakini laana inayowasumbua Watanzania wengi imeshawafika, a curse towards cheap means of earning (not making) money and hence superiority.

Tazama wasanii walivyohangaika kumnadi Kikwete hata nje ya kampeni as if wamepata mwokozi. Ni wachache sana waliotafakari kugundua jamaa anawatumia baada ya row na wafanyakazi. Sasa watulie watafakari nini walichopata maana mtu waliyemkampenia amesababisha/atasababisha hali ngumu kwa watu wa soko la bidhaa zao. Mwisho wa siku bidhaa zao zitachakachuliwa na hawataweza kuzuia hilo maana hakuna mwananchi atayeweza kukidhi gharama za bidhaa halisi.

Kalaghabao!
 
Ndugu zangu kushindana na mjinga ni kupoteza muda na energy ya kupambana na haya maisha yalio jaa ugumu mwingi. Chakufanya hawa jamaa wa Clouds ni kuwa ignore tuu hakuna kusikiliza clouds tunafanya propaganda kwa akili sana hasa kwa kutumia sehemu kama hizi na nyingine ambazo watu watajua utumbo wao na kila mtu ataacha kuisikiliza na itapoteza umaharufu na mwisho wa siku watakuwa wanatangaza mambo ya CCM na nyimbo za John komba tuu. Hakuna ambacho hakiwezekani ni mipango na subira tuu na itaanzia humu humu mpaka mwisho wasiku wataona matunda. NAWAKILISHA HOJA.
 
Cloudz kuipa cfa 2 3 inaanza kuboronga. Inajion ina hiz nying san serikalin.
 
Mimi nilisha-acha kusikiliza hii redio ya upuuzi. Utadhania ni redio Uhuru ya CCM
 
Wimbo wa Taifa unatakiwa kuimbwa pale rahisi anpokuwepo kwa utambulisho wake ua shughuli za kimataifa ikiwemo michezo sasa hilo ni kosa kupiga wimbo wa taifa pasipo sababu maalumu lakini si shangai kwani wao(Clouds) ndio walioandaa sherehe ya kuzaliwa kwa mr presida that means he is also a part of clouds staff members na huyo Chenge awe na soni basi keso ya kuua bado iko masikioni mwa watanzani na lingine ni gari lake katika uchaguzi hukomkwao lilisemekana kugonga mpanda pikipiki na kuua kwann bado anataka vitu hasivyoviweza maliza kwanza kesi mbona Tz imekuwa ni ya wachache wenye nafasi na fedha, this is rediculus.
SPEAK WHEN UR ANGRY U WL MAKE A BEST SPEECH N U WL NEVER REGRET.
 

wangemuongezea na ulinzi pale mlimani city miguu ilimuokoa.......... maafande wapale walimdindia aliokolewa na mbio zake !
 
Pole sana, mimi nimeshaacha kusikiliza Clouds siku nyingi sana,
 
Kibonde na Geha Habib utawaita ni professional presenters?
Clouds FM ni kijiwe cha CCM.
Baada ya UHURU fm kupoteza wasikilizaji CCM imejikita kuitumia CLOUDS fm kama chombo chake rasmi cha kuongelea na kutishia umma.
 
Vyombo vya habari vimesajiliwa kwa kufuata sheria na katiba ya nchi.vinatakiwa kuheshimu na kulinda misingi ya utaoji habari bila kuonekana kuleta hisia binafsi katika habari.nchi yetu imeoza kwa ubinafsi na tamaa zilizo kithiri.haijalishi ni lini ila kuna siku mfumo huu wa kulinda maslahi ya wachache na kukandamiza maslahi ya wengi utasababisha maafa.hasha hatuwezi kunyamaza kutetea haki na usawa katika nchi kwa kuogopa kuambiwa wachochezi.kwani nani kachochea ukosekanaji ama uvunjifu wa amani.ukweli ni kuwa huwezi kutegemea amani kama haki na kutoheshimiana hakupo.nashangaa wazee wanaojiita wanabusara wanajifanya hawaoni yanayotokea.ndio maana tunahitaji mabadiliko.
Clouds na wengine wote mlio vibaraka vya wachache heshimuni na kutambua diversity.sio kila mtu ana pata msaada wa mafisadi wenu,we are speaking and standing for our rights.we want our rights and we will take our rights hata mkitunyonga,mtuue,mtuite wajinga.tunakataa uonevu. I rather die standing than live kneeling.
 
Usipokubali matokeo lazima damu imwagike?
 
kwa wanaojua anuani za washenzi hao wanaojipendekeza kwa ccm basi waziweke hadharani.mahali wanapoishi pamoja na familia zao ili mambo yakiharibika kwa ujinga wao basi tuanze nao.
SASA HIVI TUMECHOKA KWANI NDUGU ZETU HUKO VIJIJINI WANAPOTEZA MAISHA YAO KWASABABU YA UMASKINI WAO UNAOSABABISHA WASHINDWE KUMUDU GHARAMA ZA MATIBABU PINDI WANAPOUGUA.
 

CLOUDS imejaa makanjanja Hando, Bonge, Kibonde nk
 
Binafsi nimeanza kuwabadiri vijana wanaonizunguka kuhachana na redio hii... nina hakika nikiweza badiri watano nitakuwa nime'play my part'. Tuwaoneshe nguvu ya umma!!
 
Kanjanjas at their best, wana andaa mazingira....
 

koma kabisa kuhamasisha umwagaji damu. Chukua kisu kwanza ukate shingo yako ndio tutajua kweli kwamba umekasirika. Kama ukishindwa hivyo basi untaka kumwaga damu ya nani?
Hata roma haikujengwa siku moja, watu kama ninyi ndio mnawapa akina kibonde hoja za kuongea
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…