Jiji la Nairobi na viunga vyake linachangia asilimia 41 ya GDP yote ya Kenya
Kampala na viunga vyake, 60% ya GDP yote ya Uganda
Kigali 40% ya GDP ya Rwanda
Dar Es Salaam 19% ya GDP ya Tanzania.
Ni jambo zuri uchumi wa nchi kutokuwa dominated na jiji moja. Ila nini kimesababisha iwe hivi kwa Dar es Salaam?