Kwa nini Democratic Party wanaamini Trump atashinda 2020?

Kwa nini Democratic Party wanaamini Trump atashinda 2020?

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,892
Democratic Party wana weak candidates na mpaka Bloomberg na hata Hillary anafikiria kugombania tena. Je wewe unafikiri Trump atashinda au ?
 
Sasa kama huyo ndiye mgombea wa Democratic, kwanini wasiwe na mashaka?
-----------------------
Joseph Robinette Biden Jr. is an American politician who served as the 47th vice president of the United States from 2009 to 2017. Biden also represented Delaware in the U.S. Senate from 1973 to 2009. Wikipedia

Born: November 20, 1942 (age 77 years), Scranton, Pennsylvania, United States
Height: 1.83 m
Party: Democratic Party
Education: College of Law - Syracuse University (1968), University of Delaware (1965), Archmere Academy (1961)
Children: Hunter Biden, Beau Biden, Ashley Biden, Naomi Biden
Spouse: Jill Biden (m. 1977), Neilia Hunter (m. 1966–1972)
 
Marekani inaongozwa na kundi la watu wachache sana. Sema wana play smart.

Trump pekee yake hata 3% asinge pata.
Kiufupi ama kiuhalisia US Hakuna Demokrasia Kama Wanayoipigia Chapuo Katika Nchi Zawatu
 
Democratic Party wana weak candidates na mpaka Bloomberg na hata Hillary anafikiria kugombania tena. Je wewe unafikiri Trump atashinda au ?
Sababu US Hakuna Demokrasia Kama Wanavyoiaminisha DUNIA
 
Marekani inaongozwa na kundi la watu wachache sana. Sema wana play smart.

Trump pekee yake hata 3% asinge pata.
Kwa nini asipate?,Zile kura 60+ millions alizopata 2016 zilikuwa fake?..Acheni story za vijiweni.
 
Andrww Yang,Ma democrats wameanza kumpiga figisu mapema..
Ila jamaa yupo smart sana. Nafikiri kuna tofauti kubwa sana ya mmoja kuwa mwanasiasa na mwengine mfanyabiashara.

Tofauti niliyoiona mfanyabiashara anazungumza facts moja kwa moja na solution. Mwanasiasa maneno mengi. Ndiyo maana Trump wanamgwaya.

Wakimtoa Andrew Yang Trump atapita kiulaini sana. Kwa sababu Andrew Yang ni demo candidate pekee aliyewakusanya watu wa demo na repub...
 
Sahihi kabisa,demo kwa sasa wanahitaji mtu moderate ambaye anaweza kuwakusanya both conservative and liberals kwa pamoja wakamuelewa..Tatizo wagombea wengi wa Demo are very far Leftists.Walimtegemea Joe Biden lakini saivi naona hana energy tena na haeleweki anasimamia nini hasa.Andrew Yang at least anaweza compete na Trump,au yule dada Ex-Military Tulsi Gabbard,Sema ni mdogo halafu ma dems wanamsingizia ni Russian Spy..
 
Generally wamarekani including askari wao ni waoga wanapenda raisi mbabe hivo Trump lazima atashinda.Bush alishinda vipindi viwili sababu ya vita vya Afghanistan baada ya September 11 2001wakiogopa tishio la Osama.Obama alishinda kipindi cha pili baada ya kumuua Osama.
Sasa Trump atashinda tena vile wanamuogopa kiduku raisi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ndio wamarekani walivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom