Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,768
- 4,038
Nimekuwa najiuliza hili swali lakini bado sijapata majibu.
Huu mkataba ni baina ya sehemu mbili, The said Tanzania na DP World ya Dubai. Huku Tanzania viongozi wa nchi na CCM wanajitahidi kutotoa ukweli kuhusu huu mkataba, na wameshajiwekea uadui mkubwa na watu wanao oji uhalali wa mkataba.
Vipi upande wa pili wao haliwahusu kutetea hayo makubaliano au?
Hisije ikawa Tanzania inajipendekeza tu kama msichana anayetaka kuolewa kumbe hahitajiki