Kwa nini elimu hii?

Kwa nini elimu hii?

Mkillindy

Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
37
Reaction score
4
Elimu ya tz inachosha. Wanafunzi wa vyuoni huwa wanafanya project, mara baada ya kumaliza wanaziacha na kuchukua marks zao.
Hawapati support juu ya hilo. Je, km wangepewa mtaji waendeleze project zao c lingepunguza uhaba wa kazi?
Mf wa project zinazoendelezwa na wanafunzi ni online voting, jigambeads.com, tanzaniakwetu.com na jigambe.com
Unatoa ushauri gani kwa nchi juu ya vijana hawo? Wapewe mtaji ili waendeleze project zao, au waendelee kutafuta kazi?
 
Back
Top Bottom