Kwa nini faru ndungai!!??

Kwa nini faru ndungai!!??

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,106
Reaction score
8,043
Nimesikia Leo kwenye media kuwa ndani ya hifadhi ya ngorongoro kuna faru ndungai.
Nimebaki najiuliza:
>Kwa nini wamuite faru ndungai?
>Je, huyu faru ndungai ni jike au dume?
> Au huyo faru naye anahasira za karibu kama Mheshimiwa!!.
 
Kesho muda kama huu uwe umefika central na kama hutofika polis wakukamate wakupeleke kwa pingu mkononi maana huu ni uchochezi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu ebu nipe mtazamo wako kwa maana mwanzo walianza na faru joni... Kesho kesho kutwa tunaweza kusikia faru kinana.
 
Nimesikia Leo kwenye media kuwa ndani ya hifadhi ya ngorongoro kuna faru ndungai.
Nimebaki najiuliza:
>Kwa nini wamuite faru ndungai?
>Je, huyu faru ndungai ni jike au dume?
> Au huyo faru naye anahasira za karibu kama Mheshimiwa!!.
Njia ya Serikali kuvuta bunge upande wa serikali kwa kumpetipeti Mr Speaker ili kumziba Masikio, Mdomo, Pua na Macho
 
Labda naye anateka faru wenzake na kuwaficha kisha kuwaachia baada ya muda.
 
Back
Top Bottom