Wadau vipi
Mimi nina vits ilikuwa na nguvu sana but hivi majuzi imeanza tabia ya ajabu kuna muda kutoka gear namba 2 kwenda tatu inachelewa
Namba 2 kuna muda usiku unakuta uko speed tu inasoma 0 then all of sudden inaenda 40
Na kuna muda inarudi na nguvu kama kawaida
Pia kuna muda ukiweka mafuta kidogo ikiwa silencer
Inazima
Mtaalam anitafute 0652472486