Hata Toyota pia, genuine bei iko juu. Kama upo Dar nenda duka la Kisangani, Msimbazi street, kkoo, ulizia shock absorbers za mbele za Toyota RunX, uone kama bei iko chini ya milioni 1. Funga za elfu 50, 50, miezi 2 gari linagongagonga.Honda spea zake ni ghali
Ni kweli hata kwenye spea pia wanang'ata na kupuzia..certified dealers toyota motors,nissan motors,mazda n.k wanaweka bei kubwa kwa sababu wanajua huwezi kupata original kwingineHata Toyota pia, genuine bei iko juu. Kama upo Dar nenda duka la Kisangani, Msimbazi street, kkoo, ulizia shock absorbers za mbele za Toyota RunX, uone kama bei iko chini ya milioni 1. Funga za elfu 50, 50, miezi 2 gari linagongagonga.
ulinunua mwaka gani mr django?maana nami nahitaj honda fit?Sawa mkuu! Lkn Mimi nilijibu kama mleta mada alivyotaka! Relatively ziko cheaper kulinganisha na Toyota! IST kwa mfano haipungi milioni 12 lkn gari niliyotolea mfano hadi inafka mkononi kwangu nilitumia milioni 9, ikiwa na millage ya 55000km
Ninamiliki Honda Fit Aria kwa muda wa mwaka mmoja sasa! Naweza tu kusema ni mojawapo ya magari smooth sana! Ni tamu kuendesha kwa kweli! Na niliinunua kwa "bei cheap" kidogo kulinganisha na magari ya hadhi yake ya Toyota...
Demand mkuu. Used Toyota demand yake ni kubwa ndio maana bei inakuwa juu.Kwa bei za chini kbs leo Beforward kwa IST vs Honda Fit vs Mazda Demio zote za 2005.
1. Toyota IST ni $2206, ushuru wake ni sh 4.6mil
2. Honda Fit ni $1456, ushuru ni 4.1mil
3. Mazda Demio ni $1589, ushuru ni 3.5mil
Sasa mkiambiwa brands (tofauti na Toyota [kwa TZ]) nyingine huwa 'cheap', maana yake ndio hii.
Hapana, siuzi boss wanguNisogezee mkuu hii gari yako kisha ununue nyingine nzuri na tamu. Mie pesa yangu haitoshi kuagiza nje.
Mkuu naona ni muda Sasa unaimiliki hiyo gari na kama kunachangamoto utakuwa umeshazipitia. Naomba ushauri wako nataka ni nunue Honda fit je, ni kweli kwamba kuna changamoto ya spare parts na pia bei zake ni mkasi sana?Hapana, siuzi boss wangu