Kwa nini "Grade" za chuo zimepanda?

Awiaman ooza

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2023
Posts
512
Reaction score
866
Wakuuu salaaaam

Nimepata matokeo yangu ya UE nimesikitishwa. Kwa upangiliaji wa grade hizi sababu nilidhania A inaanzia 70 kumbe sio hapa chini ni muongozo wa grade hizo

A - 75 - 100
B+ - 65 - 74
B - 60 - 64
C - 50 - 59
D - 40 - 49
F / sup - below 40

Hii ni haki kweli wamangu by the way nina sup 1 semester ya 1 😭😭😭

 
Kupata sup chuo kikuu huku ikiwa hujafanya mtihani ukiwa mgonjwa ama stress za ada basi ni ukilaza huo
 
Hiyo picha unahusiana vipi na mada?

Miaka yetu tunasoma A ilianzia 80 ikaja kubadilika.
 
Kwani unadhani hiyo ni kubwa? Kama haukuwa unasoma na umeenda chuo kukua ndo utashangaa kutokujua hata grading zipoje lakjni kwa aliyeenda kusoma anafahamu vizuri sana.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kama muda wote uko na warembo tu hivi lazima utakula mzinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…