Kwa nini H.O.D anaitwa KIFESI

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Leo napenda nitoe utata wa jina ninalotumia ambalo watu wameligeuza mada.hapa nazungumza na watu timamu na waelewa watu ambao wna nia ya kufaham na kuelewahii haiwahusu watu wa kuponda kila.

Kwanza mimi ni msukuma na jina langu kamili ni, Andrew Kisula. Kisula ni jina la baba angu,zingatia ni KISULA siyo KISURA,kwa waelewa wa lugha wanafaham utofauti wake KISURA ni ile inahusu urembo ,na KISULA ni jina la kisukuma(wasukuma wanaelewa).

Kwa nini naitwa (kifesi) nilipoanza kufanya kaz na boss wangu,wengi walikuwa hawaniiti kwa Jina langu la kwanza walipenda kuniita la bab yangu, KISULA sababu liklikuwa tofaut,badae boss wangu na Moze iyobo ,wakawa wanaiita kitani,KIFESI kuanzia hapo jina likazoeleka,na kila mtu akawa ananiita hivyo,boss wangu akiwa anaiitambulisha kwa watu atasema huyu anafanya kaz flani anaitwa kifesi..so nimelizoea na kila mtu ananifaham kwa jina ama nickname hiyo na mm sikuona ubaya wa kulitumia kama utambulisho kwenye mitandao ya kijamiii kulahisisha mawasiliano na watu wnaohitaji kaz zangu mana wengi wnanifahm kwa hilo.

Bila shaka nimejieleza vizuri na waelewa wamenielewa.
Ahsanteni
 
Yaani ww unaenda hatua mbili mbele tatu nyuma, mimi si kuna siku nilikuuliza hapa kwanini unatumia i.d mbili ya hod na kifesi ukakana na kusema sio wewe sasa na hapa leo ndo umekuja kuconfess nini?? Na mimi nilikuwa najua fika photographer wa dai anaitwa kifesi na huku jf ulikuwa unatumia hod,?
 

sa leo si ndo katoa maelezo.............. we Mndengereko wa wapi wewe Lols
 
Last edited by a moderator:
Hureeeeee snowhite ukuje hapa usirudie tena kuhoji...

sa we mbona nimekuita "kisula real love" umemind???
 
Last edited by a moderator:
kiface ni kisura!

kiface sio sawa na kisula hata kidogo!

halafu katika kiswahili hatuna neno kisula mabalo linamaanisha facial.

otherwise useme tukuite kisura, jina ambalo ni la mrembo wa kimasai aliyeshinda shindano la miss kisura..

was it very neccessary for us to know all these sh.it?
 
Sorry dude...,did Diamond kno wat u'r doin' in JF???nah hard feelingz at ol ila just piga picha zen 4get bout otha stuff luks lk hauwezi badilika kbs umeshindwa ht ku-justfy jina lako SULA=FACE cmply unatakiwa na ww umuajiri m2 ambae atakuambia nn cha ku-post kwny social netwrks othawz daily utakua unatoa boko but ki-ukwl i do like ya work unapiga picha poa sn cjawahi kuona picha mby n' i like WCB'z art work gear ziko poa nimeona mkono wako instagram thru Diamond'z acc.
 
Mbona wasukuma hawapo kama wewe au msukuma wa Dar nini
 
sa leo si ndo katoa maelezo.............. we Mndengereko wa wapi wewe Lols

hahahah wa rufiji... Kama vipi basi atengeneze id nyingine ndo aitumie sana ya kifesi coz kila mtu anajua ni photo.. Wa dai na yy mwenyewe kaamua kuweka picha zake humu so nothing to hide atumie tu id yake ya kweli ambayo kila mtu atamjua kwa haraka na ambayo ni rahisi kumtambulisha yy(huu ni ushauri wa bure kwake)
 
Last edited by a moderator:
embu ongea nae kama vipi huyu mtu anayeitwa kiface humu kama vipi akuachie id hiyo kuondoa mkanganyiko. Coz everybod knws kiface ni h.o.d

Tofauti inavyoandikwa labda kama kalilipia hilo jina atamuachia
 

:A S thumbs_up:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…