bwegebwege
JF-Expert Member
- Jul 30, 2010
- 1,072
- 186
Hivi jamani siku zote naona matangazo ya kazi lakini si kwa sehemu zifuatazo:-
- Tanzania Revenue Authority
- Tanzania Ports Authority
Kuna nini huku? Watu hawastaafu??
Mimi nilishawahi kupata kazi TRA kupitia matangazo yao lakini sikuweza kufanya nao kazi baada ya kuona barua ya ajira, wana mishahara midogo hawa jamaa ila sijajua watumishi wake wanaojenga magholofa wanapata wapi pesa. Una kuta mtu ana Net pay 1.2M alafu kajenga gholofa sasa kwasisi tusio amini katika mazingaombwe inatuchanganya

bandari hii secta imejaaa--wahaya yani full ukabila
tra hii secta ni wachagga na wapare full ukabila...................kama ww sio kabila hutokei makabila haya sahau
kuajiliwa ndo maana unambiwa ni heri tanzania vita itokee tuuwane ili kila mtu apate mkate wa taifa