Kwa nini Hersi anawatamani sana watu waliopo Simba?

Ni ushamba tu, na anaona akifanya hivyo ataonekana masta na atawafurahisha mashabiki wake,

Ogopa sana mtu anaetamani kusifiwa kila wakati na anapenda macamera kuonekana

Ile ya kumchukua Chama imebuma, mashabiki wa Simba wameichukulia kawaida Vyombo vya habari vimechukulia kawaida imemuuma sana.
 
Huo urafiki ilikuwa wa kumtongoza Chama. Ndiyo maana nimesema hata Zimbwe atakuja kwenda huko. Ukishamuonaona mchezaji wa Simba anakwenda kwenye matamasha yao waliyoyaweka kwa kivuli cha charity, ujua huyo tayari wamemuweka mikononi mwao, ni suala la muda tu.

Simba inabidi ibadili mtazamo wake kabisa kuhusu mpira, bila hivyo itadidimia sana maana watu wamejipanga kweli kweli kwa harakati za nje ya uwanja.
 
Ni kweli, simba miaka ya hivi karibuni wamelala sana nje ya uwanja.
Hata Manara wakati anawika sana Simba, alikuwa kwenye payroll ya GSM na Azam.
 
Morrison kabla ya kwenda simba alitokea timu ipi
 
Anawachochea moto simba,ili waanze kupoteana mapeeema asubuhi.
 
Ona hii mbumbumbu
 
EDIT: Nilimsahau na Jonas Mkude. Huyu alitambulishwa kwa mbwembwe zote kama vile kinda atakayeenda kutikisa nyanja za soka kwa miaka 20 ijayo....

Ukitaka kujua obsession ya Hersi kwa watu wa Simba, Mkude ndiye mfano bora kuliko wote.
 
Anapekeka kiama kwny timu yake...usimshtue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…