The Prophet
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 682
- 94
Jukwaa la siasa !
Jukwaa la siasa !
Mambo yasiyo na maana na ya kipuuzi achana nayo.
Nioneshe 'e' kwenye hiyo sentesi.
Mbona naona a ndio nyingi.
sentensi yako pia haina e
sipendi kubishana, napenda kueleweshana. Hatauanataka tubishane tu lakini huo ndiyo ukweli. .
sipendi kubishana, napenda kueleweshana. Hata
Katika maneno yako niliyoquote hapo nimehesabu fasta fasta
a- 5
i - 5
u-5
o-2
e- 2.
Hizi ni sifa za kijinga, Nchi imeuzwa sisi tunajadili herufi 'e' so what?
Hahahakwenda huko. Kwani lazima wote tujadili kitu kimoja.
Usilete mashauzi hapa.
Irabu sio vowelKiisimu, voweli ni sauti zitokanazo na hewa kupita moja kwa moja kutoka mapafuni bila kuwa na kizuizi kikubwa. Katika lugha ya Kiswahili voweli ziko tano hasa, yaani a, e, i, o, u.
Kwa uchunguzi wangu wa harakaka nimegungua kwamba tofauti na lugha nyinine, Kiswahili kinatumia sana e kwa sababu moja kubwa nayo ni e kuwepo mwishoni mwa kile vitenzi vya dhamira tegemezi (subjunctive mood) mfano mwambie, msalimie, mpokee, mpe, mchekee, mfisadishe, mchongee, mdadavulie n.k n.k.
Mtumee!! Ko irabu ni nini?Irabu sio vowel
"e" ni "people",events au ideas?Small mind discuss people
Average mind discuss events
Great mind discuss ideas
~wallen buffet say
Ni vyema ukapima akili yako ilipo b4 posting