Kwa nini hii pikipiki ya mjapan ya muda mrefu sana sijawahi kuiona hapa nchini

Masamila

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Posts
6,490
Reaction score
7,422
00c8eb6db3008f86754d60cc952fd172-517x388.jpg

Hii pikipiki ni Kawasaki Z1 900 ya mwaka 1972 ya mjapan, bidhaa ya kampuni kubwa tu ya pikipiki kutoka Japan. Najua wengi wetu tunafahamu kuwa kwa vyombo vya usafiri nchi yetu ni mteja mkubwa sana kwa japan kwa kiasi kikubwa sana. Sasa suala ni kwa nini sijaiona hii pikipiki ambayo ina miaka zaidi ya arobaini sokoni ? Kama magari yalitushinda iwe hadi kwa pikipiki?

Umasikini ulitugaragaza sana! Nani wa kumlaumu kwa ule umasikini wetu? Au kuna wadau wameshaiona?
 
View attachment 1079372

Tatizo spare mkubwa utaipata wapi
 
Tatizo spare mkubwa utaipata wapi

Kama hizi pikipiki zingekuwepo nyingi nchini basi spare lisingekuwa tatizo maana wafanya biashara wa spare wangeziingiza nchini
 
Hizo zipo kibao jeshini walipewaga mgao ma sgt zipo kawasaki na
Radiot

Duuh

Jeshi bana kwa hiyo waliwadharau sana masajini wakawaona watu wa hadhi ya pikipiki

Ahahahahha
 
Ishu sio hiyo ishu ni wanaozijua unajua hapa bongo watu wananunua vitu kwa mkumbo yaani kuiga
Kama hizi pikipiki zingekuwepo nyingi nchini basi spare lisingekuwa tatizo maana wafanya biashara wa spare wangeziingiza nchini
 
Ilikuwa mkopo wa bei nafuu unakatwa kwenye mshahara hadi inakuwa yako kabisa wengine bado wanazo mpya kabisa wengine waliuza
Duuh

Jeshi bana kwa hiyo waliwadharau sana masajini wakawaona watu wa hadhi ya pikipiki

Ahahahahha
 
Ilikuwa mkopo wa bei nafuu unakatwa kwenye mshahara hadi inakuwa yako kabisa wengine bado wanazo mpya kabisa wengine waliuza

Alaa

Nikajua wamegawa kwa kuangalia hadhi kumbe ni mkopo
 
Back
Top Bottom