Tatizo spare mkubwa utaipata wapiView attachment 1079372
Hii pikipiki ni Kawasaki Z1 900 ya mwaka 1972 ya mjapan, bidhaa ya kampuni kubwa tu ya pikipiki kutoka Japan. Najua wengi wetu tunafahamu kuwa kwa vyombo vya usafiri nchi yetu ni mteja mkubwa sana kwa japan kwa kiasi kikubwa sana. Sasa suala ni kwa nini sijaiona hii pikipiki ambayo ina miaka zaidi ya arobaini sokoni ? Kama magari yalitushinda iwe hadi kwa pikipiki?
Umasikini ulitugaragaza sana! Nani wa kumlaumu kwa ule umasikini wetu? Au kuna wadau wameshaiona?
Kawasaki zipo ingawa model tofauti na hiyo
Kama hizi pikipiki zingekuwepo nyingi nchini basi spare lisingekuwa tatizo maana wafanya biashara wa spare wangeziingiza nchini
Duuh
Jeshi bana kwa hiyo waliwadharau sana masajini wakawaona watu wa hadhi ya pikipiki
Ahahahahha
Ni kweli mkuuHizo zipo kibao jeshini walipewaga mgao ma sgt zipo kawasaki na
Radiot
Ni nafuu kwa kua bei haijakatwa kodi bei inakua CIF pekee au chini kidogo ya CIFAlaa
Nikajua wamegawa kwa kuangalia hadhi kumbe ni mkopo
Hapana mkuu, kwanza sio nyingi mtaaniUmeziona kwa miaka miaka mingi?
Hizo zipo kibao jeshini walipewaga mgao ma sgt zipo kawasaki na
Radiot