Kwa nini hutumii jina lako halisi JF

Kwa nini hutumii jina lako halisi JF

Biobenga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
394
Reaction score
533
Ukiangalia social media nyingine kama twitter, facebook na linkedin unatumia jina halisi pengine umeweka picha kabisa. Huko taarifa zako nyingi ziko wazi. Kwa nini hapa JF isiwe hivyo. Hata wale wanaotumia JF pekee, kwa nini fake ID. Mnaonaje tubadilishe ID ziwe real.

Wale wanaotumia majina halisi si vibaya wakatueleza sababu ya kufanya hivyo na kuwa tofauti na wengi. Bila kuwasahau verified users.

Binafsi wakati najiunga Jf niliona kuwa ni taratibu zake kutumia fake ID, lakini sababu ya msingi ni personality yangu, napenda sana usiri.
 
Mimi natumia jina halisi sababu Sina wa kumhofu
 
Mbona me natumia majina yangu kamili Deogratius Kisandu a.k.a kiongozi mkuu wa Chama kipya
 
Ukiangalia social media nyingine kama twitter, facebook na linkedin unatumia jina halisi pengine umeweka picha kabisa. Huko taarifa zako nyingi ziko wazi. Kwa nini hapa JF isiwe hivyo. Hata wale wanaotumia JF pekee, kwa nini fake ID. Mnaonaje tubadilishe ID ziwe real.

Wale wanaotumia majina halisi si vibaya wakatueleza sababu ya kufanya hivyo na kuwa tofauti na wengi. Bila kuwasahau verified users.

Binafsi wakati najiunga Jf niliona kuwa ni taratibu zake kutumia fake ID, lakini sababu ya msingi ni personality yangu, napenda sana usiri.
Ngoja waje wanaotumia majina bandia mimi langu ni halisi hadi kwenye vyeti ni hilo hilo
 
Mimi mwenye natumia jina langu halisi sijui watu wanaogopa nini kutumia majina yao[emoji40][emoji40]
 
Back
Top Bottom