Ukiangalia social media nyingine kama twitter, facebook na linkedin unatumia jina halisi pengine umeweka picha kabisa. Huko taarifa zako nyingi ziko wazi. Kwa nini hapa JF isiwe hivyo. Hata wale wanaotumia JF pekee, kwa nini fake ID. Mnaonaje tubadilishe ID ziwe real.
Wale wanaotumia majina halisi si vibaya wakatueleza sababu ya kufanya hivyo na kuwa tofauti na wengi. Bila kuwasahau verified users.
Binafsi wakati najiunga Jf niliona kuwa ni taratibu zake kutumia fake ID, lakini sababu ya msingi ni personality yangu, napenda sana usiri.