R.I.P Edward Ngowai Lowasa πΉKuna mkuu au mzito yeyote aliyewahi kumalizia safari yake Muhimbili, Mlonganzila, Lugalo, Sinza Palestina au Benjamin Mkapa ?
Kwa nini walijitengea Mzena mahususi ? Inafika level za Muhimbili?
Ndio jibu Hilo?R.I.P Edward Ngowai Lowasa πΉ
ok.πNdio jibu Hilo?
Kuna mtu nilimwambia Mzena haijawahi ponya mgonjwa yeyote ukipelekwa ujue tayari ni marehemu nafikiri ni code ya kiinteligensia inayotumika kuujulisha ummaNdugai, Lukuvi,-Mzena ni mochwari tu wala usipate tabu.
πππACAPULCO BAY