kwa nini isiwe Hivi.??..

kwa nini isiwe Hivi.??..

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937
Kama matangazo ya Sigara yanaambatana na "onyo" (hatari kwa afya yak)..

.......na kwenye eneo hatari pia kuna wekwa vibao vya "onyo"

kwa nini isiwe kwa sehemu zote hatari kwa afya zetu kama hivi?..

<TABLE style="WIDTH: 806px; HEIGHT: 91px" border=0 cellSpacing=0 cellPadding=0 width=806><TBODY><TR><TD vAlign=top width=756></TD><TD width=25></TD></TR><TR><TD height=17 colSpan=3>
shim.gif






</TD></TR></TBODY></TABLE>
<TABLE border=0 cellSpacing=0 cellPadding=0 width=806><TBODY><TR><TD vAlign=top width=756><FORM method=post action=http://www.proshieldsafetysigns.co.uk/cgi-bin/ca000001.pl></FORM></TD><TD width=25></TD></TR><TR><TD height=17 colSpan=3>
shim.gif
<TABLE border=0 cellSpacing=0 cellPadding=5 width="100%" align=left><TBODY><TR vAlign=bottom align=left><TD vAlign=center align=right>


</TD><TD vAlign=center align=left></TD></TR></TBODY></TABLE></TD></TR></TBODY></TABLE>

asian-warning.jpg
 
Ee bwana hii nimeipenda sana, ila nadhani ingetulia zaidi kama hiyo tap ya warning ingekuwa sehem flani za hapo kwenye chini kwenye nanihii na pale juu kidogo kwenye maz.... anyway halafu ikaandikwa Danger, No access ingekuwa bab kubwa. Nadhani ukimwi ungekuwa hadithi
 
Onyo kwenye sigara ni kwa sababu za kisheria. Utakapopata madhara usimdai mtu fidia..
 
Hiyo sigara yenyewe kuna onyo lakini bado idadi ya wavutaji inaongezeka kila kukicha,
Sembuse hiyo kitu hapo!!
 
Hiyo sigara yenyewe kuna onyo lakini bado idadi ya wavutaji inaongezeka kila kukicha,
Sembuse hiyo kitu hapo!!

mzee hiyo ni kweli kabisa,wapo watu wanaoiona hatari na bado wanaikimbilia!!
 
Back
Top Bottom