Sawa tumekaririshwa vizuri, ongeza lingine kabla sijaondokaKila siku tunaimbiwa kwa kuna Mihimili 3 inayojitegemea, sasa swali langu kwa nini Jaji akitaka kujiuzulu haombi kwa Jaji Mkuu badala yake anaomba kwa Raisi JMTZ?
Maoni yangu, bado hamjauelewa vizuri mfumo wa TZ, mnakwenda Shuleni kukaririshwa tu, ...
Awali ya yote, tukubali kuwa utaratibu wa uteuzi wa majaji hapa Tanzania hauendani kabisa na msingi ulioanza nao wa separation of powers, ( mihili mitatu). Ukitazama kiundani utaona kuwa jaji anateuliwa na Rais hivyo basi barua yake ya kujiuzulu lazima iende kwa aliyemteua.Kila siku tunaimbiwa kwa kuna Mihimili 3 inayojitegemea, sasa swali langu kwa nini Jaji akitaka kujiuzulu haombi kwa Jaji Mkuu badala yake anaomba kwa Raisi JMTZ?
Maoni yangu, bado hamjauelewa vizuri mfumo wa TZ, mnakwenda Shuleni kukaririshwa tu, halafu kuna watu wanajidanganya kwamba watamuondoa Raisi wa JMTZ kwa kutumia Mihimili mingine ,,inayojitegemea", ...
Nafasi ya jaji ni ya uteuzi, kwanini ukitaka kujiuzulu usimuombe aliye kuteua? [emoji118] nafikiri hiyo hoja ikijibiwa itajibu swali hilo.Kila siku tunaimbiwa kwa kuna Mihimili 3 inayojitegemea, sasa swali langu kwa nini Jaji akitaka kujiuzulu haombi kwa Jaji Mkuu badala yake anaomba kwa Raisi JMTZ?
Maoni yangu, bado hamjauelewa vizuri mfumo wa TZ, mnakwenda Shuleni kukaririshwa tu, halafu kuna watu wanajidanganya kwamba watamuondoa Raisi wa JMTZ kwa kutumia Mihimili mingine ,,inayojitegemea", ...