Bila shaka wana -jf wengi mmekutana na jambo hili au mmesikia; ukienda kuomba chumvi usiku kwa jirani yako kwa kutaja neno chumvi hakupi ila ukisema dawa ya mezani utapewa. Kali zaidi wengine ukiomba chumvi kwao usiku hawakupi kabisa, je hii maana yake nini? Hiki ni moja ya vituko vya uswahilini. Karibu tujadiliane.