The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Wakiliweka itakuwa wamekubali they have him, itawalazim lumtoa hadharaniGT
Mungu nimwema mara zote humuumbua mjinga,sasa hawa police mbona hawajamtaja polepole kama moja ya watu waliohamasisha raia kutoka?
Wana uhakika he is dead....the most likely logical deductionGT
Mungu nimwema mara zote humuumbua mjinga,sasa hawa police mbona hawajamtaja polepole kama moja ya watu waliohamasisha raia kutoka?
sasa kama wanaye mbona hawajasemaWakiliweka itakuwa wamekubali they have him, itawalazim lumtoa hadharani
Wakimtoa itadhibitika kwamba wanahusika na utekaji
That riskt they cant take
mange wanasema watamkamataJiulize Kwanini majina ya Mangekimambi na Maria sarungi hayapo? Jibu ndo hilohilo liweke kwa polepole
Wamesema wapi?mange wanasema watamkamata
Wakisema ni kukiri wanahusika na utekaji. Hiyo ni another case which ni mbaya kwaosasa kama wanaye mbona hawajasema
Maku ww!Jiulize Kwanini majina ya Mangekimambi na Maria sarungi hayapo? Jibu ndo hilohilo liweke kwa polepole
Tulia dawa ikuingie Nyumbu weweMaku ww!
Wakiliweka itakuwa wamekubali they have him, itawalazim lumtoa hadharani
Wakimtoa itadhibitika kwamba wanahusika na utekaji
That riskt they cant take
As i said attempt hiyo itawatia doa lingine. Too dangerous for themSi walishasema ajisalimishe polisi!! Na hawajawahi kutueleza kama alijisalimisha au la. Sasa kwanini wasimuweke kwenye list? Au alishajisalimisha ndio maana hayupo kwa list?🤔🤔🤔
Imagine; polisi wa Samia ni matope kama alivyo Samia mwenyewe🚮🚮🚮🚮GT
Mungu nimwema mara zote humuumbua mjinga,sasa hawa police mbona hawajamtaja polepole kama moja ya watu waliohamasisha raia kutoka?