Nafikiri ingekuwa busara kwa Kikwete kuagwa kama Karume, na pindi akishinda atakaribishwa tena kwa gwaride. Hasipofanya hivi na akashindwa kama atashinda kwenye uchaguzi, basi hana nafasi tena ya kuagwa kwa heshima kubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.