Elections 2010 Kwa nini JK asifanye kama Karume kule Z'bar?

Elections 2010 Kwa nini JK asifanye kama Karume kule Z'bar?

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
7621.JPG


Nafikiri ingekuwa busara kwa Kikwete kuagwa kama Karume, na pindi kama atashinda atakaribishwa tena kwa gwaride. Hasipofanya hivi na akashindwa kwenye uchaguzi, basi hana nafasi tena ya kuagwa kwa heshima kubwa kama hii!
 
Back
Top Bottom