Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,662 Reaction score 6,888 Oct 21, 2010 #1 Nafikiri ingekuwa busara kwa Kikwete kuagwa kama Karume, na pindi kama atashinda atakaribishwa tena kwa gwaride. Hasipofanya hivi na akashindwa kwenye uchaguzi, basi hana nafasi tena ya kuagwa kwa heshima kubwa kama hii!
Nafikiri ingekuwa busara kwa Kikwete kuagwa kama Karume, na pindi kama atashinda atakaribishwa tena kwa gwaride. Hasipofanya hivi na akashindwa kwenye uchaguzi, basi hana nafasi tena ya kuagwa kwa heshima kubwa kama hii!