Naombeni ushauri wana jammii. Nimeishi na mwanaume wa kikurya kwa miaka saba sasa na tuna mtoto mmoa. Familia ya mwanaume huyu ni ya ajabu sijawahi kuona!Ndugu na wazazi wake ni watu wa ajabu kiasi kwamba nashindwa kuelezea!Kilichonisikitisha ni kitendo cha kuzuia harusi iliyokuwa ifanyike mwisho wa mwaka huu, sababu eti kwanza mie msomi, pili kijana wao akinioa (sio mkurya mwenzie) basi wao watampoteza mtoto wao na hawatapata tena msaada toka kwake. Jamani hebi nipeni mawazo yenu, nifanyeje?
Huo ni mfano hai ulonitokea mimi, nina mifano ya watu watano pia yamewatokea kama hayo!! To be honest, hili kabila bado linahitaji elimu! Angalia mfano wa female genital mutilation, bado wanapractice hayo mambo! Kweli nawaambia huyu mama mkwe mngepata kumuona physically I swear ungemchapa viboko! :hatari:

Hii tabia ya kuongelea kabila zima wakati tatizo ni la familia ya mme wako halikubaliki. Huu ni unyanyapaa au "stereotyping" kwa lugha ya wale wafadhili mashoga. Swali sahih lingekuwa "hivi kwa nini familia ya mme wangu wana mila za kizamani hivi"?[/QUO
Sio familia ya mume wangu tu, bali karibu jamii nzima ya wakurya wana hizo tabia!Hata kwa wale walioenda shule na wakaelimika bado wana zile chembe chembe za mila zao chafu!Mnahitaji ukombozi wa kifikra!Asante kwa mawazo yako.
hizo ni mila zao, ni utamaduni wao. na wao wanakushangaa wewe kwanini unataka kuolewa na "mkurya"?
wao wakiacha hizo mila manake kabila la wakurya litakuwa limepotea. tunawaita wakurya si yo kwasababu ni wakurya bali kwasababu ya identity yao, na moja ya identity yao ni hayo unayoyaona toka kwa hao wakwe zako.
tunnaposema tuwe makini kuchagua wenza wetu, hatumaanishi ukabila, tunamaanisha ku zuia vitu kama hivyo ambavyo kwa bahati mbaya vinatokea kwako leo

Sio kweli fanya utafiti zaidi mama utafunguka macho. Wakurya uliokutana nao au kuwafahamu ni wachache mno kuweza kufikia conclusion uliyoifikia.
Ikishindikana ng'oa figa weka kitandani kwa mama mkwe hapo umewaweza hawakufukuzi ng'o. Mi mkurya najua mila na desturi zetu. Ila hao bado wako nyuma ya wakati maana siku hizi hayo mambo yamepungua sana ukuriani.
hizo ni mila zao, ni utamaduni wao. na wao wanakushangaa wewe kwanini unataka kuolewa na "mkurya"?
wao wakiacha hizo mila manake kabila la wakurya litakuwa limepotea. tunawaita wakurya si yo kwasababu ni wakurya bali kwasababu ya identity yao, na moja ya identity yao ni hayo unayoyaona toka kwa hao wakwe zako.
tunnaposema tuwe makini kuchagua wenza wetu, hatumaanishi ukabila, tunamaanisha ku zuia vitu kama hivyo ambavyo kwa bahati mbaya vinatokea kwako leo
wewe siyo mukurya,nyakebhono,unatuharibia mila zetu urumurisya/oghosaghane.